MICHEZO
Related Content
Yanga imeonyesha sio wanyonge baada ya kuwadhibiti Mamelodi Sundowns leo kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa licha ya kutoka suluhu ya 0-0.
Ili Yanga kutinga nusu fainali ya michuano hiyo inahitaji kupata ushindi kwenye mechi ya marudiano ugenini nchini Afrika Kusini, April 5, 2024.
Yanga imewakosa mastaa wake muhimu wa kikosi cha kwanza kutokana na majeraha ambao ni Pacome Zouzoua, Khalid Aucho na Kouassi Attohoula Yao.
