0:00
MICHEZO
Mbio za kuwania taji la EPL zimezidi kupamba moto baada ya Manchester City kubanwa mbavu na Arsenal na kulazimishwa suluhu tasa ya 0-0.
Matokeo hayo yametoa mwanya kwa Liverpool kuchupa hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Brighton na kufikisha alama 67 baada ya michezo 29.
Arsenal wapo katika nafasi ya pili na alama 65 huku Manchester City wakishika nafasi ya 3 na alama 64.
Related Posts 📫
Bellamy's adventurous new playing style was evident as Wales sparkled...
Genoa have appointed former Arsenal captain Patrick Vieira as their...
MANCHESTER, England, 🏴 - Casemiro and Bruno Fernandes scored twice...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...