0:00
HABARI KUU
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Amechukua nafasi ya John Vianney Mongella ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Makonda amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mkuu Wilaya ya Kinondoni Wakati wa Serikali awamu ya Tano chini ya JPM.
Related Posts 📫
ABU DHABI, - Lewis Hamilton qualified only 18th for his...
HABARI KUU.
Askofu wa jimbo kuu la Geita, Flavian Kassala...
MICHEZO
Manchester united ipo tayari kumpiga bei nyota wake wa...
TENERIFE, Spain, 🇪🇸 - A late penalty from Bryan Zaragoza...
HABARI KUU
Rais wa Gabon aliyeondolewa madarakani, Ali Bongo pamoja...