LADY JAYDEE NI DARASA TOSHA KWANGU
NYOTA WETU Msanii wa BongoFleva Barakah The Prince amesema kama angeambiwa amchague msanii wakushindanishwa naye basi angemchagua Komando Lady Jaydee kwa sababu ndiyo msanii ambaye anaweza akamsikiliza na akapata kitu…