KILICHOSABABISHA NDEGE YA TANZANIA KUPATA HITILAFU YA KUTOA MOSHI
HABARI KUU Hatimaye Kampuni ya Ndege Tanzania kupitia Mkurugenzi Mtendaji wake Injinia Ladislaus Matindi wametolea ufafanuzi hitilafu ya Ndege ya Shirika hilo iliyosababisha kutoka moshi ikiwa angani ikitokea Dar es…