𝗪𝗔𝗜𝗦𝗥𝗔𝗘𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗜𝗡𝗜𝗞𝗜𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗘𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗖𝗛𝗜𝗟𝗜𝗪𝗔 𝗛𝗨𝗥U

Makumi kwa maelfu ya Waisraeli wameandamana mjini Jerusalem,wakitaka juhudi ziongezwe kuwaachilia huru mateka wanaoshikiliwa huko Gaza na kuondolewa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.

Siku ya jumapili Waandamanaji walifunga barabara kuu ya jiji, licha ya hapo awali kufanya maandamano mbele ya bunge la Israel, kuwasha moto na kupeperusha bendera ya taifa.

0:00

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Ariana Grande: Not everyone knows Ariana Grande's
Current Net Worth 2024 In the ever-evolving landscape of celebrity wealth...
Read more
WHEN MEN ARE SILENT, DO THIS!
📌Ladies, Take Note. Ensure You Read To The End!📌 During a...
Read more
‘I’m praying for every understanding woman’ –...
Afrobeats star Wizkid on Monday morning stirred controversy with his...
Read more
Chelsea have signed Portugal forward Joao Felix...
Felix, 24, who has signed a seven-year deal to begin...
Read more
Manchester United are weighing up a late...
Erik ten Hag’s side has been afflicted with injury to...
Read more
See also  NCHI ZENYE WATU WENYE FURAHA ZAIDI DUNIANI HIZI HAPA

Leave a Reply