0:00
HABARI KUU
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajia kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la ngiri.
Tatizo hilo liligundulika jana usiku wakati akifanyiwa uchunguzi.
Upasuaji huo utafanyika akiwa amechomwa ganzi ya mwili mzima.
Netanyahu (74) alifanyiwa upasuaji mwingine wa ngiri mwaka 2013 na mwaka jana aliwekewa kifaa cha kudhibiti midundo ya moyo isiyo ya kawaida (pacemaker).
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Yariv Levin ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu anatarajia kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa muda kipindi ambacho Netanyahu atakuwa kwenye matibabu.
Upasuaji huo unakuja wakati maelfu ya Waisraeli wakitegemea kuandamana kuipinga serikalini ya Netanyahu wakimtaka ajiuzulu.
Related Posts 📫
Manchester City winger Savinho and defender Manuel Akanji joined the...
De Minaur pulled out of his Wimbledon quarter-final against Novak...
The Nigerian Education Loan Fund (NELFUND) has recently made an...
HABARI KUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mbio za Mwenge...