0:00
MICHEZO
Davido ametoa taarifa rasmi akikana kudakwa na polisi nchini Kenya, baada ya kusambaa kwa habari hizo siku ya jana, Aprili Mosi.
Baadhi ya media na blogs nchini Kenya, ziliripoti kukamatwa kwa nyota huyo aliyekuwa na shoo yake nchini Kenya.
Taarifa kutoka kwa staa huyo wa Kinaijeria, zinasema wanatafuta chanzo cha awali cha uzushi huo ili kiwajibishwe kwa kusambaza taarifa za uongo.
Siku ya jana ilikuwa ni sikukuu ya wajinga ‘April Fools’, na watu wengi huitumia kuwadanganya watu wao wa karibu na kuwatania kwa taarifa zisizo za kweli.
Related Posts 📫
EDINBURGH, - Scotland's winger Darcy Graham enjoyed a spectacular return...
LEVERKUSEN, Germany, 🇩🇪 - Champions Bayer Leverkusen twice hit the...
BUENOS AIRES, – - Veteran tighthead prop Francisco Gomez Kodela...
MICHEZO
CAF imemfungia mchezaji wa timu ya Taifa ya Mali...
England midfielder Conor Gallagher scored his first goal for Atletico...