0:00
MICHEZO
Shirikisho la Soka nchini Tunisia Fédération Tunisienne de Football (FTF) limepanga kumchukua kocha wa zamani wa Yanga SC, Nassredine Nabi kuifundisha timu ya taifa hilo.
Nabi anayekinoa kikosi cha Forces Armees Royales Rabat hivi sasa anatarajiwa kuanza mazungumzo ya kukinoa kikosi hicho hivi karibuni.
Taarifa kutoka nchini humo zinasema FTF watafurahi kama kocha huyo raia wa Tunisia atakubali kujiunga na kikosi hicho.
Related Posts 📫
HABARI KUU
KUFUATIA Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti...
HABARI KUU
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi – CCM,...
The Blues have agreed a package in the region of...
MICHEZO
Licha ya kufungwa mabao 5-0 na Arsenal juzi Jumanne...
LOVE ❤
Just yesterday, I read a touching story where...