0:00
MICHEZO
Cole Palmer ameibuka shujaa wa Chelsea kwa kufunga mabao 3 kwenye ushindi wa kimiujiza wa 4-3 walioupata Chelsea mbele ya Manchester United kwenye muendelezo wa ligi kuu soka nchini England.
Hadi dakika ya mwisho ya nyongeza kwenye zile dakika 8 za kufidia muda uliopotea Manchester United walikuwa mbele kwa 3-2 kabla ya mambo kuwabadilikia na Chelsea kutumia sekunde 120 kupindua meza.
Related Posts 📫
MICHEZO
Mabingwa watetezi, Al Ahly 🇪🇬 wametinga hatua ya nusu...
LOVE TIPS ❤
4 WAYS THAT MEN CAN ESCAPE POVERTY.
Get...
Magazeti
Kurasa za magazeti leo kwa njia ya picha
Italian striker Mario Balotelli has been signed by Genoa as...
MEXICO CITY, - McLaren's Lando Norris said Max Verstappen "got...