0:00
MICHEZO
Mabingwa watetezi, Al Ahly 🇪🇬 wametinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 3-0 dhidi ya Simba Sc 🇹🇿 kwenye robo fainali.
FT: Al Ahly 🇪🇬 2-0 🇹🇿 Simba SC (Agg. 3-0)
⚽ El Solia 48′
⚽ Kahraba (P) 90+8′
Ndoto za mnyama kuishia walau nusu fainali ya CAFCL msimu huu zimefutika.
Timu zote za Tanzania zimesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya Yanga na Simba kuondoshwa.
Related Posts 📫
MICHEZO
Makamu wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema...
Ismaila Sarr scored twice as Crystal Palace beat Brighton 3-1...
Okonkwo dumped LP on Sunday citing internal strife and leadership...
NYOTA WETU
Msanii wa Dancehall , Sean Paul ameongoza kwenye...
Liverpool overawed arch-rivals Manchester City in a 2-0 win on...