MAMELODI SUNDOWNS MBIONI KUMSAJILI AZIZ KI STEPHANE

0:00

MICHEZO

Miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanahusishwa kuiwinda saini ya kiungo wa Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki.

Masandawana wanaonekana kuvutiwa na kiwango cha Ki, hasa katika michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo aliitikisa ngome yao ya ulinzi.

Baada ya mchezo wa duru ya pili kati ya timu hizi, Kocha wa Masandawana alikwenda alipokuwa ameketi Aziz Ki na kumnyanyua kisha kumfariji baada ya Yanga kutolewa katika mazingira ambayo yanasemekana kutokuwa halali, kitendo ambacho hakikumfurahisha kocha msaidizi wa Yanga, na kupelekea mvutano uwanjani hapo.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

ERIC TEN HAG KUTIMULIWA MANCHESTER UNITED
Tangu mwaka 1990 miaka 34 sasa Klabu ya Manchester United...
Read more
Fifa says it is happy to discuss...
Last week the European Leagues, which represents 39 leagues in...
Read more
Rais HUSSEIN MWINYI Awapiga Chenga "Machawa" Zanzibar
Serikali ya Zanzibar imesema Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi...
Read more
USHINDI WA CHELSEA WAMPA KIBURI LEVI COLWILL...
NYOTA WETU. Mchezaji wa Chelsea Levi Colwill anasema;- "Nimefurahi kufunga goli...
Read more
Sababu za kufukuzwa Mauricio Pochettino Chelsea
UCHAMBUZI Ukweli mwingine ambao sioni watu wakiusema ni kwamba kilichomuondoa Pochettino...
Read more
See also  NANI KUWA MFUNGAJI KATI YA AZIZ KI NA FEISAL SALUM?

Leave a Reply