0:00
NYOTA WETU
Mwanamuziki nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi Beach, Jumamosi ya usiku wa kuamkia leo wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa “Hadija”.
Malu Stonch ni mmoja wa wanamuziki wakongwe wa dansi nchini, akizitumikia bendi mbalimbali. Ikiwemo Chuchu Sound iliyompa umaarufu mkubwa miaka ya mwanzoni mwa 2000. Malu Stinch ni miongoni mwa majina yaliyoleta mapinduzi makubwa ya muziki wa dansi nchini.
Related Posts 📫
The 2014 World Cup winner was capped 124 times, with...
HABARI KUU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia...
CELEBRITIES
Popular crossdresser, James Brown embarks on a 3-day fast...
Former Super Eagles striker, Odion Ighalo has weighed in on...