0:00
MICHEZO
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga Sc dhidi ya Simba Sc almaarufu ‘Kariakoo Derby’ ambao awali haukupangiwa tarehe kwenye ratiba iliyofanyiwa maboresho na kutangazwa Februari 2024, sasa utachezwa Aprili 20, 2024 kuanzia saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa.
Taarifa ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebainisha kuwa Yanga Sc na na Simba pamoja na wadau wengine wa Ligi Kuu ya NBC wamepatiwa taarifa zote kuhusiana na mchezo huo na maandalizi yake yanaanza mara moja ili kuhakikisha unafanyika katika kiwango cha juu kinachoendana na hadhi ya michezo mikubwa ya Ligi ya sita kwa ubora barani Afrika.
Related Posts 📫
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imebainisha kuwa WANAUME wenye...
MICHEZO
Saa chache baada ya Klabu ya Chelsea kutangaza kuachana...
Gabon
Katika hali isio ya kutegemewa,majeshi ya Gabon yamefanikiwa kumwangusha Ali...
Zheng dismantled Poland's Swiatek, the clear favourite to win a...
ABU DHABI, - The only scary thing about Max Verstappen...