0:00
NYOTA WETU
Ni maneno ya Donald Trump, aliyekuwa rais wa 45 wa Marekani. Ametoa ya moyoni akidai anataka kuwa Nelson Mandela wa taifa kubwa duniani la Marekani.
“Iwapo udukuzi wa chama utaniweka kwenye ‘click’ kwa kusema ukweli, basi nitakuwa Nelson Mandela wa kisasa, itakuwa ni heshima kubwa kwangu.”
Trump mwenye miaka 77 kasema hayo Jumamosi, Aprili 6, 2024 akikosoa mfumo wa uongozi wa Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden, huku akisema haogopi kukaa jela kutokana na kesi zinazomkabili hivi sasa juu ya matumizi mabaya ya fedha katika kipindi cha uchaguzi na utumishi wake.
Ikumbukwe hii siyo mara ya kwanza kwa Trump kujifananisha na watu mbalimbali maarufu, aliwahi kujifananisha na Yesu Kristu mwaka 2023.
Related Posts 📫
MAKALA
Kwenye maisha kuna siri nyingi basi leo nakupa siri...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Arsenal will use the hurt from their first Premier League...
CELEBRITIES
Heartwarming video shows the interaction between young Imade and...