0:00
MICHEZO
Chelsea wameshindwa kutamba mbele ya Sheffield United baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 katika dimba la Bramall Lane (Sheffield).
FT: Sheffield United 2-2 Chelsea
⚽ Bogle 32’
⚽ McBurnie 90+3’
⚽ Silva 11’
⚽ Madueke 66’
‘The Blues’ walipoteza fursa ya kuchukua alama zote tatu baada ya Sheffield United kupata bao la kusawazisha jioni kabisa kipindi cha pili.
Related Posts 📫
MICHEZO
Kocha wa Manchester United, Eric Ten Hag ametupilia...
The ex-Manchester United defender, Patrice Evra, has been given a...
Real Madrid forward Kylian Mbappe has not found the back...
DNA tests have revealed that Nigerian soccer star Kayode Olanrewaju...
BEIJING, - Carlos Alcaraz rallied from a set down and...