0:00
TETESI
Walichofanya Yanga ni kutocheza na shilingi chooni, wakaamua kutoa mkataba wa muda mrefu kwa Kiungo Mshambuliaji wao, Stephane Aziz Ki ambao utamuweka jangwani kwa miaka mingine mitatu.
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Aziz Ki ameshasaini mkataba na Yanga na kilichobakia ni kuweka hadharani juu ya makubaliano hayo.
Mkataba wa awali wa Aziz na Yanga unafikia ukingoni Juni 2024, na amehusishwa na vilabu vya Afrika Kusini ikiwemo Mamelodi Sundowns na Orlando Pirates Football Club zote zikihitaji huduma ya kiungo huyo wa Burkina Faso.
Related Posts 📫
USIVUTE SIGARA WAKATI WA UJAUZITO
SABABU ZA KUZAA MTOTO MWENYE UZITO...
BBNaija star, Whitemoney, has made a bold declaration about his...
Na MUJUNI HENRYUhariri Hadi kufikia Augusti 16, 2024.Kanisa Katoliki lina...
In a stunning upset, the Benin Republic national team known...
Mikel Arteta will hope to add to his squad to...