WANAJESHI WATATU WA TANZANIA WAUAWA KWENYE MAPIGANO DRC

0

0:00

HABARI KUU

Wanajeshi watatu wa Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha kulinda amani cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameuawa kwenye shambulio la kombora Mashariki mwa DR Congo na wengine watatu kujeruhiwa.

Taarifa ya SADC haijaeleza ni wapi, lini au nani aliyehusika na shambulio hilo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MAWAZIRI WA SADC WAIPA TANZANIA MKONO WA POLE
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading