0:00
NYOTA WETU
Dunia imebadilika sana, wakati Mange Kimambi anatangaza kuja na connection za wasanii haikuwa rahisi kudhani kama Aslay angeingia kwenye huu mkenge wa aibu kwasababu wengi wa mashabiki zake waliamini anajitambua, anajielewa, ni msanii mwenye heshima zake ambaye angeweza kuficha faragha zake.
Lakini haijawa hivyo, mambo ya faragha kayaweka hadharani watu wameanza kumfturu yeye jana badala ya iftari. Kwa nilichokiona leo pesa ambayo Mange Kimambi ataingiza kwa video hiyo huenda ikafika milioni 300 na ikishuka sana milioni 100 hazikosekani. Pole sana Aslay kikubwa ni vijana wengine kujifunza kuwa makini mnapokuwa faragha hasa pale mkiwa mmelewa.
Related Posts 📫
In July, Parisians had left the city in droves ahead...
❤
FINANCIAL AGREEMENT.
You need to agree on mode of communication...
Ousmane Dembele scored twice as Paris St Germain secured a...
Two players had tested positive on Tuesday. Meares added that...
Reports indicate that Obi was positioned at the front of...