0:00
MICHEZO
Wananchi, Young Africans Sc wametinga hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Walima zabibu, Dodoma Jiji FC katika dimba la Jamhuri, Dodoma.
FULL TIME: Dodoma Jiji FC 0-2 Yanga SC
⚽ Emmanuel Joseph 3′
⚽ Waleed Clement Mzize 66′
Timu zilizofuzu robo fainali Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB
•Geita Gold
•Mashujaa FC
•Azam Fc
•Yanga Sc
•Singida Black Stars
•Tabora United
•Namungo
•Coastal Union
Related Posts 📫
HABARI KUU
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema...
President William Ruto has amended his initial list of Cabinet...
GIRONA, Spain, 🇪🇸 - Liverpool have had more rest than...
Rais wa Marekani Joe Biden amesema atasimama na Makamu...