CHANZO CHA KIFO CHA ORENTHAL JAMES SIMPSON

0:00

NYOTA WETU

Mchezaji wa zamani wa NFL na mtangazaji, Orenthal James Simpson amefariki Dunia kwa saratani akiwa na umri wa miaka 76.

Umaarufu na mafanikio ya O.J. Simpson yalifunikwa na kuachiliwa kwake katika mauaji ya kikatili ya mke wake wa zamani, Nicole Brown Simpson na rafiki yake Ron Goldman.

Orenthal James Simpson mzaliwa wa San Francisco alijipatia umaarufu kama Mchezaji wa Chuo Kikuu kabla ya kucheza katika NFL.

Mnamo 1995 aliachiliwa huru baada ya kukutwa hana hatia kwa mauaji ya mke wake wa zamani Nicole Brown na rafiki yake katika kesi ambayo ilitikisa Marekani.

Mnamo 2008, O.J. Simpson alihukumiwa kifungo cha miaka 33 kwa makosa ya wizi wa kutumia silaha kabla ya kuachiliwa mnamo 2017.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MCHEZAJI WA KLABU YA AL AHLY AHUKUMIWA...
Mchezaji nyota wa Al Ahly Hussein El-Shahat amehukumiwa kifungo cha...
Read more
JINSI MAREKANI ILIVYOMKAMATA SADDAM HUSSEIN ...
NYOTA WETU. Saddam Hussein aliendelea kukimbia kwa muda wa miezi nane...
Read more
West Ham have signed Dutch forward Crysencio...
The 22-year-old has agreed a five-year deal at London Stadium...
Read more
Verstappen more worried about his pace than...
MEXICO CITY, - Max Verstappen sounded more concerned about his...
Read more
Alejandro Garnacho is ruled out of the...
Argentina forward Alejandro Garnacho will miss their World Cup qualifiers...
Read more
See also  REMA AWEKA REKODI MPYA SPOTIFY

Leave a Reply