0:00
MICHEZO
Kocha Marc Brys amesaini Mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuinoa timu ya taifa ya Cameroon.
Katika hafla ya utiaji saini kati ya Kocha Mpya na Wizara ya Michezo, haikuweza kuhudhuriwa na Rais wa Shirikisho la soka nchini humo Samuel Eto’o.
Katika taarifa iliyotolewa wiki iliyopita, Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon, Samuel Eto’o alieleza kushangazwa kwake na FECAFOOT kutengwa katika maamuzi ya kutafuta kocha mpya.
Huku timu ya taifa ikisubiri mzozo huo kupatiwa suluhu,macho yote yapo kwenye mchezo mwezi Juni utakaowakutanisha na Cape Verde kuwania tiketi ya kufuzu kombe la Dunia.
Related Posts 📫
CELEBRITIES
On the occasion of her birthday, Imade Adeleke, the...
HABARI KUU
Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna...
MANY MEN ARE LOOKING FOR PROSTITUTES NOT WIVES
The hard truth...
Wolves have sold Max Kilman to West Ham for £40m...