NJIA ZA KUIFANYA NDOA YAKO IWE MPYA KILA SIKU NA YA KUDUMU

0:00

MAPENZI

Ndoa ni kama bustani, inahitaji kutunzwa na kufanyiwa kazi; kupunguza matawi, kung’oa magugu, kupaliliwa na kutiwa mbolea.

Ukiona kijani kibichi upande wa pili wa fensi, ni kwasababu panatunzwa. Kila mtu anaweza kutamani uzuri wa bustani. Lakini hugharimu muda, juhudi, kuchapakazi na umakini kuifanya bustani ivutie.

Sasa Unafanyaje ndoa yako iwe tamu na ifurahishe?

  1. Kuwa Mkarimu Kwenye Kusamehe. Jicho kwa jicho itawaacha wote mume na mke vipofu. Jifunze kupotezea matatizo madogo na kumsamehe mpenzi wako. Ukikosea kubali mapema na omba radhi haraka; unapokuwa sahihi funga mdomo wako. Upendo ni kusamehe kusiko kukomaa. Vita vya ndoa na kutalikiana ni matokeo ya kutosameheana. Jifunze kusamehe. Ndoa nzuri ni muungano wa watu wawili wanaojua kusamehe.
  2. Tafuta amani na mwenzi wako. Usigeuze chumba chenu cha kulala kuwa chumba cha mahakama cha kusikilizia kesi. Migogoro na mabishano hayana nafasi chumbani kwenu. Pafanyeni chumbani kwenu kuwa sehemu ya amani, upendo na kuwa karibu. Wapenzi wanaopambana wakati wote hawawezi kupokea na kufurahia baraka za Mungu. Wamebarikiwa wapatanishi, kwa kuwa wataitwa wana wa Mungu.
  3. Msiwape nafasi wazazi wenu, ndugu zenu na marafiki waingilie ndoa yenu .Chochote unachowashirikisha wazazi, ndugu na marafiki bila mwenzako kujua kina najisi na kudhoofisha muungano mtakatifu uliopo kati yako na mwenzi wako. Kuwa na busara ya kutatua changamoto zilizopo kati yako na mpenzi wako.
  4. Ndoa inahitaji ushirikiano wa kitimu. Ndoa itashamiri pale ambapo mume na mke wanapoelewa kuwa “kushinda pamoja” ni muhimu zaidi ya kushinda.
  5. Umoja katika ndoa hauwezi kufikiwa na wanandoa ambao hawana ushirikiano wa kifedha

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

"KUKOPA NI AFYA KWA UCHUMI " GEORGE...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...
Read more
WANAWAKE WAPEWA USHAURI KUHUSU MATUMIZI YA P2...
MAGAZETI
See also  17 BEST SLEEPING HABITS FOR MARRIED COUPLES
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
SHULE KUMI GHALI ZAIDI TANZANIA
MAKALA SHULE KUMI GHALI ZAIDI TANZANIA.International School of Tanganyika (IST)—...
Read more
Manchester City midfielder Kalvin Phillips is set...
Phillips has failed to break into the City starting side...
Read more
Mfahamu P Diddy na Siri za Maisha...
Ukiniuliza kwa dunia hii ya leo kuna mwanamuziki gani niliyewahi...
Read more

Leave a Reply