YOUNG AFRICANS YAMUONYA WAKALA WA MAYELE

0:00

MICHEZO

Klabu ya Yanga imemwandikia barua ya onyo wakala anaemsimamia Fiston mayele kuwa Mteja wake amekuwa akitumia maneno ya kuichafua brand ya Yanga SC na endapo akiendelea atafunguliwa mashtaka.

Mwanamama Jasmine Razack anawasimamia wachezaji kadhaa waliopo na waliopita Yanga ;

◉ Fiston Mayele
◉ Feisal Salum
◉ Ibrahim Bacca
◉ Clement Mzize

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Music producer Young John posted a video...
CELEBRITIES Music producer Young John posted a video on social...
Read more
Mambo ya Ajabu ya Maisha ya Samwel...
Ajabu Ya Sitta Na Mungai… ‘Machifu' Wawili Walioagwa Ndani Ya Juma...
Read more
TIPS FOR WOMEN ABOUT MEN
A lot of men had no father or mentor to...
Read more
IDADI WANAFUNZI WANAOLAWITIANA NA KUBAKANA YAZIDI KUONGEZEKA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
TFF YAMFUTA KAZI AMROUCHE HUKU CAF IKIMFUNGIA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
See also  KYLIAN MBAPPE AWEKA MPANGO WA KUTAJA TIMU YAKE MPYA

Leave a Reply