0:00
MICHEZO
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga.
Kabla hajasaini mkataba mpya alitoa sharti kuwa, endapo atasalia katika klabu hiyo wamhakikishie kwamba watamleta striker wa maana katika dirisha kubwa.
Uongozi wa Yanga umekubali sharti hilo na mchezaji amesaini miaka miwili.
Related Posts 📫
NYOTA WETU
Muigizaji Mkongwe wa Nollywood Nigeria, Amaechi Muonagor amefariki Dunia...
A recent global wealth report suggests that Elon Musk is...
MICHEZO.
Klabu ya Al-Nassr Fc ya Saudia Arabia imefungua mazungumzo na...