0:00
NYOTA WETU
Kiungo mshambuliaji wa TP Mazembe na timu ya taifa Zambia, Rainford Kalaba (37), amefariki dunia leo hii baada ya kupata ajali ya kugongana na gari lingine akiwa ndani ya gari lake binafsi .
Nyota huyo aliyekuwa pacha wa nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta katika kikosi cha Tp Mazembe amepata ajali hiyo katikati ya Miji ya Kafwe na Lusaka nchini humo.
Kalaba alikuwa sehemu ya wachezaji wa Zambia walioshinda kikombe cha AFCON 2012 kwa kuwafunga Ivory Coast kwa changamoto ya mikwaju ya penati, huku yeye akiwa moja ya wachezaji waliokosa penati katika mchezo huo.
Related Posts 📫
The reinstated deputy Governor of Edo State, Philip Shaibu on...
NYOTA WETU
Baada ya miaka kadhaa toka Staa wa Bongofleva...
A recent global wealth report suggests that Elon Musk is...
Sababu kubwa ni kwamba tarehe hizo Baba wa Taifa hilo...