0:00
NYOTA WETU
Mwanamitindo maarufu wa Italia Roberto Cavalli (83) almaarufu kama “King of leopard print” amefariki dunia.
Cavalli ambaye alikuwa akisumbuwa na maradhi kwa muda mrefu amekutwa na umauti akiwa nyumbani kwake Florence, Italia.
Kampuni ya mwanamitindo huyo ambaye alianzisha lebo yake mwanzoni mwa miaka ya 1970 huuza nguo za kifahari, pochi, viatu na manukato.
Ubunifu wake umevaliwa na watu mbalimbali mashuhuri akiwemo Jennifer Lopez, Beyonce, Kim Kardashian, Naomi Campbell na wengine wengi.
Cavalli alipenda sana wanyama, na baadhi ya bidhaa zake zina miundo ya wanyama mbalimbali.
Related Posts 📫
Award-winning musician, Wizkid has said he could start a church...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti amekiri ni...
Michezo
Msanii wa muziki na filamu Nchini Marekani, Selena Gomez...