ROBERTO CAVALLI AFARIKI DUNIA

0:00

NYOTA WETU

Mwanamitindo maarufu wa Italia Roberto Cavalli (83) almaarufu kama “King of leopard print” amefariki dunia.

Cavalli ambaye alikuwa akisumbuwa na maradhi kwa muda mrefu amekutwa na umauti akiwa nyumbani kwake Florence, Italia.

Kampuni ya mwanamitindo huyo ambaye alianzisha lebo yake mwanzoni mwa miaka ya 1970 huuza nguo za kifahari, pochi, viatu na manukato.

Ubunifu wake umevaliwa na watu mbalimbali mashuhuri akiwemo Jennifer Lopez, Beyonce, Kim Kardashian, Naomi Campbell na wengine wengi.

Cavalli alipenda sana wanyama, na baadhi ya bidhaa zake zina miundo ya wanyama mbalimbali.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MWINYI NI CHUO HALISI CHA UONGOZI
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
KLOPP KUONDOKA LIVERPOOL
MICHEZO Jurgen Klopp ametangaza kuwa ataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu...
Read more
Muuguzi Akiri Kufanya Biashara ya Ukahaba Mahakamani
Binti wa miaka 23, Lobi Daudi amekiri shtaka lake la...
Read more
MADAM RITA KWENYE MAOMBI YA NDOA
NYOTA WETU Jaji wa shindano la BSS , Rita Poulsen baada...
Read more
AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUWA...
MASTORI Ndoa ina maajabu yake ,huwezi amini lakini ukweli ni...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply