0:00
MICHEZO
Baada ya klabu ya Singida Big Stars kutoa taarifa kuwa, mlinda mlango wake, Beno Kakolanya ametoroka kambini wakati timu ikikabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Yanga Sc, Beno amekanusha taarifa hizo na kusema kamwe hawezi kutoroka kambini.
Beno Kakolanya ameeleza kuwa hajatoroka kambini bali alitoa taarifa kwa meneja wa timu na kuruhusiwa.
“Nilimpa taarifa Meneja kuwa nimepata tatizo na ilikuwa ni siku ya Alhamisi na ilitakiwa niondoke usiku huo huo nikaondoka usiku huo.
“Aliyewapa maelekezo anajua ana maana gani waseme hivyo pia niliyempa taarifa naye kafikishaje ujumbe swali lipo hapo.
“Ila kwakuwa wamenichafua Sana ngoja wanipe ushahidi nimehujumu wapi timu,” amesema
Kakolanya.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
OUR STAR 🌟
Famous Nigerian singer Habeeb Okikiola better known...
Popular actress, Sarah Martins heavily blasts netizens dragging her for...
Spain coach Luis De la Fuente remains calm and confident...
Nairobi - Rais wa kenya William Ruto ameitaka Mahakama kuu...