0:00
MICHEZO
Bayer Leverkusen ni Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga) kufuatia ushindi wa 5-0 dhidi ya Werder Bremen katika dimba la nyumbani la BayArena (Leverkusen).
Full Time: Bayer Leverkusen 5-0 Werder Bremen
⚽ Boniface 25’
⚽ Xhaka 60’
⚽⚽⚽ Wirtz 68’ 83’ 90’
Bayer Leverkusen imetwaa ubingwa huo ikiwa imeshinda mechi 37 sare 5 baada ya mechi 42 bila kupoteza mchezo wowote.
Xabi Alonso ameiongoza Leverkusen kutwaa ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya kwanza baada ya miaka 120 huku ikikomesha rekodi ya Bayern Munich ya kuchukua kombe hilo kwa miaka 11 mfululizo.
Related Posts 📫
Inter Milan coach Simone Inzaghi voiced his frustration following Sunday’s...
BUSINESS
We will use Malawi as an example. Start by...
MICHEZO
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF)...
CELEBRITIES
Diddy, a renowned American hip-hop artist and successful entrepreneur,...
MASTORI
CAF imeielekeza klabu ya Simba SC kuondoa neno "MO...