COLE PALMER KINARA WA MABAO EPL

0

0:00

MICHEZO

Cole Palmer amefunga magoli manne na kuwa mchezaji wa kwanza wa Chelsea kihistoria kufunga kwenye mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu England katika dimba la Stamford Bridge.

FT: Chelsea 6-0 Everton
āš½āš½āš½āš½ Palmer 13′ 18′ 29′ (P) 64′
āš½ Jackson 44′
āš½ Gilchrist 90′

Palmer amekwea kwenye usukani wa ufungaji bora wa Ligi Kuu England akiwa na magoli 20 sawa na Erling Haaland huku akiwa mchezaji wa kwanza wa Chelsea kufunga magoli 20 au zaidi kwenye msimu mmoja ndani ya klabu ya Chelsea tangu Eden Hazard afanye hivyo msimu wa 2018/19.

Kwa ujumla amefunga magoli 25 kwenye michuano yote huku akifumania nyavu mara 11 na kutoa pasi saidizi 3 kwenye mechi 6 zilizopita za Chelsea.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Hardship: Tinubu not aware Nigerians are hungry, angry ā€” Ndume
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading