0:00
HABARI KUU
Mwili wa Mkuu wa Majeshi Nchini Kenya, (CDF) Jenerali Francis Ogolla aliyefariki katika ajali ya Helikopta siku ya Alhamisi eneo la Sindar katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet Nchini humo utazikwa nyumbani kwa familia yake huko Alego Usonga, Kaunti ya Siaya siku ya Jumapili, Aprili 21, 2024.
Mwanafamilia alifichua kuwa marehemu Jenerali Ogolla alikuwa ameeleza katika Wosia wake kwamba, atakapofariki, azikwe ndani ya saa 72.
Ogolla alifariki pamoja na wanajeshi wengine tisa katika ajali hiyo ambapo Rais wa Kenya wa William Ruto ametangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha Jenerali Ogolla.
Related Posts 📫
Mwanariadha Mkongwe wa Jamaica na Bingwa wa zamani wa Olimpiki...
The show's popularity, however, has made life in the Olympic...
MICHEZO
Klabu ya Juventus ya Italia imeripotiwa kufanya mazungumzo na...
The Deputy National Spokesman of the Peoples Democratic Party (PDP),...
HABARI KUU
Mkazi wa Kijiji cha Mashese, Daines Paul Mwashambo...