MANCHESTER CITY YAINGIA FAINALI IKIICHAPA CHELSEA

0:00

MICHEZO

Bernardo Silva alifunga bao pekee katika dakika ya 84 ya mchezo dhidi ya Chelsea na kuipa tiketi ya fainali ya kombe la FA Manchester City

Juma lililopita kiungo huyo kutoka Ureno alikosa mkwaju muhimu wa penati na kuifanya City kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya na kocha wake Pep Guardiola alimkingia kifua dhidi ya ukosoaji mkubwa uliokuwa ukimuandama na leo Silva amelipa fadhila kwa kufunga bao muhimu kwenye mchezo huo

Sasa Manchester City atakutana na mshindi kati ya Coventry na Manchester United kwenye fainali

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Liquorose sparks BBL rumours in recent video
CELEBRITIES Liquorose shared a captivating video featuring her dancing alongside...
Read more
Timothy Weah faces make or brake game...
Juventus midfielders Timothy Weah and Nicolo Fagioli are fit to...
Read more
Fans express displeasure after Netflix withdraws from...
In a significant blow to the Nigerian film industry, Nollywood...
Read more
MHASIBU WILAYA YA SAME JELA MIAKA 20
HABARI KUU Aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same...
Read more
Kakamega County Prepares to Welcome President Ruto's...
Kakamega County leaders, including Governor Fernandes Barasa, have expressed their...
Read more
See also  Mitrovic helps Al-Hilal stay perfect in Champions League but Neymar injured

Leave a Reply