0:00
MICHEZO
Wananchi wameendeleza ubabe kwenye ‘Derby’ ya pili ya msimu baada ya kuibuka na ushindi mwingine dhidi ya Watani, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa.
YANGA SC 2-1 SIMBA SC
⚽ Aziz Ki (P) 20′
⚽ Guede 37′
⚽ Freddy Kouablan 74′
Wananchi wanakwenda mpaka pointi 12 mbele ya Mnyama wakifikisha alama 58 baada ya mechi 22 huku Wekundu wa Msimbazi wakisalia nafasi ya tatu alama 46 baada ya mechi 21.
Related Posts 📫
NYOTA WETU.
Muigizaji wa filamu Morgan Freeman afichua siri za kuvaa...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Hunter Biden (54), ambaye ni mtoto wa Rais wa Marekani...
HABARI KUU.
Mkosoaji wa Serikali ya Kigali wa muda mrefu,...
The National Youth Service (NYS) in Kenya has unveiled a...