0:00
MICHEZO
Arsenal wamereja kileleni kwenye msimamo wa EPL baada ya kupata ushindi muhimu wa 2-0 ugenini dhidi ya Wolverhampton baada ya kuwa na wiki mbili za sintofahamu
Vijana hao wa mwalimu Mikel Arteta walipoteza uelekeo baada ya kukubali kufungwa nyumbani na Aston Villa kabla ya kufurushwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya na Bayern Munich kabla ya leo kufufua upya matumaini yao ya kulisaka taji la EPL kwa ushindi huo muhimu
Arsenal itamlazimu kushinda michezo yake yote mitano iliyosalia kwenye EPL huku wakati huohuo akiwaombea lolote liwakute wapinzani wake wa karibu kwenye mbio hizo vilabu vya Manchester City na Liverpool
Related Posts 📫
RIYADH, -
Russian-born Canadian Artur Beterbiev was crowned boxing's undisputed...
A road accident in the Katumba area along the Garissa-Nairobi...
HABARI KUU
Ndege mpya ya abiria aina ya Boeing B737-9...
BUSINESS
A company profile can show investors and stakeholders the...