AFYA
DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID
1. Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.
2.Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.
3.Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
4.Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).
5.Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.
6.Hupatwa na kichefuchefu.
7. Kutapika
8.Miwasho sehemu za
siri
9.Uchovu
10.Uke kuwa mlaini sana
11.Kizunguzungu
12.Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.
13.Kuvurugika kwa Hedhi.
Kwa maelezo zaidi, Ushauri wa kitabibu na Matibabu pia basi usisite kuwasiliana nasi
