AFYA
CHANZO, DALILI, MADHARA NA MATIBABU.
_ Mimba ya uongo, kitaalamu tunaita, “Pseudocyesis” ni imani unayokuwa nayo kwamba unatarajia kupata mtoto wakati hakubeba mimba ya mtoto kabisa. Watu wenye mimba ya uongo wana dalili nyingi za ujauzito, japokuwa sio zote, lakini anakuwa na matarajio kabisa ya mtoto tumboni, na wanakuwa na dalili kama hizi:
● Uzito wa mwili
● kuongezeka
● Kuhisi kichefuchefu
● Mgongo kuuma
_ SABABU YA TATIZO HILI NI…
Mwanamke anapojihisi kuwa ana hamu ya kuwa na mimba, hali ambayo inaweza kusababishwa na mambo kama haya:
_Ugumba
_Mimba kurudia kutoka
_Kukaribia ukomo wa hedhi
_Au nia ya kuolewa
VISABABISHI HIVI HUPELEKEA HALI YA KUONA KUWA NI MJAMZITO……..
● husababisha kuachiwa kwa vichocheo au homoni kama vile estrogen na prolactin ambazo hupelekea kuonekana dalili za mimba kwa uhalisi wake kabisa.
Wanawake wenye mimba ya uongo huwa wana dalili nyingi mno kama nilivyoseama hapo awali, na zinakuwa kama zile tu za mjamzito, nazo huwa kama hizi zifuatazo:
_Kutokupata hedhi
_Tumbo kuwa kubwa
_Matiti kujaa, mabadiriko kwenye chuchu, na kutoa maziwa
_Kichefuchefu na kutapika
_Uzito wa mwili kuongezeka
SULUHISHO LA TATIZO HILI.
_ Kwa kutumia bidhaa lishe zenye ubora wa kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanamke huenda kuimarisha vichocheo vya homoni kama estrogen na PROLACTIN ili kutatua changamoto hii kwa haraka sana na kutoa SULUHISHO mapema na kuweza kupata mimba ya ukweli.