AFYA

.❤️🍎🍎 SABABU ZA UKE MKAVU 🍇💓❤️
_____

🥑🥑Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaan ESTROGEN HORMONES,, ambayo huleta ute na vilainishi vya uke

✍️✍️_kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wa wastanii ambao hufanya uke kubana,kuleta joto na raha katka tendo

💾✍️✍️VISABABISHI VYA UKE MKAVU
_Upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi
_magonjwa ya zina kamaa kaswende,gonorea n.k
_U.T.I sugu
_Fangasi sugu ukeni
_uke mchafu
_matumizi ya sabuni za anti biotics kusafishia uke
_matumizi ya pedi zisizo za anions

❤️❤️ DALILI ZA UKE MKAVU

_Maumivu makali wakat wa tendo la ndoa
_kutokwa na damu wakat/baada ya tendo la ndoa
_kukosa/kupungua hamu ya tendo la ndoa
_maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo
_maumivu ya kiuno,mgongo na tumbo
_maumivu ya mifupa na viungo
_kuwa na ngozi kavu
_msongo wa mawazo kupita kiasi
_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
_kuto furahia tendo la ndoa
_kuto shika mimba

✍️✍️ MADHARA YA UKE MKAVU

_upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi(HORMONES IMBALANCE )
_kuto shika mimba
_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
_ni rahisi kushambuliwa na maambukizi katka mfumo wa uzazi kama PID,PCOS n.k


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.