SABABU TFF KURUDISHA LIGI YA MUUNGANO

0:00

MICHEZO

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Kombe la Muungano linarejea tena wakati ambao Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema TFF kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) zimetangaza kurejea kwa kombe hilo huku ikibainisha kuwa timu za Simba SC na Azam FC kutoka Tanzania Bara, zitashiriki katika Mashindano hayo ya mwaka huu yenye sura ya Uzinduzi wa Kombe hilo, huku kwa upande wa Visiwani timu shiriki ni mabingwa wa Zanzibar, KMKM pamoja na KVZ FC.

Mechi hizo zitachezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia Aprili 23.

“TFF na ZFF tunawaomba Watanzania wote kushirikiana ili kufanikisha mashindano haya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.” imesema taarifa hiyo.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MANCHESTER CITY YAICHAPA 3 BURNLEY
London,Uingereza. Timu ya Manchester City imeendeleza pale ilipoishia kwenye msimu wa...
Read more
Sinner hopes for long rivalry with Alcaraz
The rivalry between Jannik Sinner and Carlos Alcaraz, the world's...
Read more
GABRIEL AMPIGIA CHAPUO SALIBA
MICHEZO Beki kutoka nchini Brazil na Klabu ya Arsenal Gabriel...
Read more
Brad Gilbert announces end of Coaching Relationship...
World No. 6 Coco Gauff and coach Brad Gilbert are...
Read more
POLISI WAPEWA KIBALI KUMSHTAKI IGP
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
See also  LUVUMBU NZINGA AJIUNGA NA AS VITA CLUB

Leave a Reply