SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI

0:00

AFYA


Hili ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi sana tena sana na wanashindwa wafanye nini kulitatua na pia wengi wao hawajui ni kitu gani kinasababisha hali hiyo?
Hutokea mnapokua mnafanya tendo la Ndoa(mbuzi kagoma) Au Pia Wakati Wa Mazoezi Ambapo Hewa huingia Ndani Na Wakati wa kutoka hutoa mlio kama Kujamba.

Hali hii huwa Ni Kawaida na hutokea Mara chache Sana,Lakini Tatizo Huanza pale ambapo inatokea kila siku na Kutoa hewa yenye Harufu kiasi cha kumkera mtu Wako Wa karibu,Hii inakosesha raha na kutojiamini kabisa na saa nyingine hukufanya usitake kuwa na mwenzio



SABABU ZA TATIZO HILI


➡️KULEGEA KWA MISULI YA UKE“`uke ukiwa umelegea inasababisha vijambo kwenye Uke kutokana na uke kuwa wazi, yaani kwa kuwa uke umelegea na upo wazi Basi hewa hupita kiurahisi na kusababisha uke kujamba, EPUKA AIBU NDOGO NDOGO KITANDANI KWA UKE KUPWAYA NA KUTEPETA AU KUJAMBA

➡️BAKTERIA VAGINOSIS
Kwa kawaida uke huwa na bacteria ambao huitwa lactobacilli, bacteria hawa ni wazuri na hawamletei shida yoyote mwanamke, bacteria hawa huulinda uke ili usishambuliwe na bacteria wabaya ambao ndio husababisha magonjwa. Kinachowezesha bacteria hawa waweze kukaa kwenye uke ni hali ya utindikali wa uke (vaginal acidity), Hali hii ya utindikali wa uke inapobadilika na kupungua kwa sababu yoyote ile husababisha bacteria hawa kupungua na hivyo hutoa nafasi kwa bacteria wabaya kukua kwa wingi na kushambulia afya ya uke hatimaye husababisha Hewa ya harufu mbaya (harufu hii kutokana na uchafu unaotengenezwa na bacteria hawa

➡️UTUMIAJI MAJI MOTO KUJISAFISHA“`
Ukiwa unapenda kusafishaa Uke wako kwa maji moto tatizo hili lazima likukumbe maana maji ya moto hulegeza uke na kuufanya uwe unatoa hewa chafu wakati wa kufanya tendo la ndoa hata baada ya kufanya.Uke Hauchafuki Isipokuwa unapata maambukizi ambayo yanayotakiwa kutibiwa kwa dawa,Huwa Unajisafisha wenyewe Na Kama Ikibidi sana,Basi maji Masafi ya baridi ni mazuri na yanasaidia kubana misuli ya uke pamoja na kuwalinda bacteria ambao ni walinzi wa uke kwa ujumla.

➡️KUJICHUA(DOUCHING)
Hii ni hali Ya Mwanamke Kujisisimua viungo vyake vya uzazi kwa kutumia vidole au vifaa na Kupelekea kufikia kileleni, Hii ni mbaya kwani msisimko husababisha KULEGEA kwa misuli ya Uke na hivyo kutepeta Au Kupwelepweta,Hii husababisha tatizo la kutoa hewa

➡️FANGASI ZA UKENI(VAGINAL CANDIDIASIS)
Fangasi za ukeni pia huweza kusababisha kutokwa na Hewa yenye harufu kali ukeni, Japo huwa si kwa kiwango Kikubwa sana kama sababu za hapo juu
Pia, mara nyingi mwanamke mwenye tatizo la fangasi za ukeni atalalamika kuhusu kuwashwa zaidi kuliko harufu .
Dalili za fangasi za ukeni ni pamoja na kutoa majimaji mazito ya rangi nyeupe (kama Maziwa ya mtindi) yenye harufu, kuwashwa ukeni, pamoja na kusikia maumivu wakati wa kufanya mapenzi

➡️STYLE MNAYOKAAA WAKATI WA SEX
Kuna style zingine huwa zinaruhusu hewa kuingia ukeni hatimaye kujamba .Kama doggy style au chuma mboga..Kama una tatizo la kujamba ukeni epuka style hizi mpaka pale itakapo pona Tena kama Una fangasi Ndo Hatari zaidi kwako Na Kwa Mwenzako,sababu Nyingine ni kama kukosa ute ute,kutumia vidonge vya uzazi na kushiriki tendo na wanaume wengi.

See also  FAIDA ZA KULA NDIZI MBIVU KWA MWILI WA MWANAMKE



NINI CHA KUFANYA ?


~Epuka kusafisha uke wako kwa Maji ya moto Au kuingiza kidole ukeni, uke unajisafisha wenyewe,kama ni lazima basi maji ya baridi pasipo kutumia sabuni au kitu chochote ndani ya uke


~Epuka matumizi ya madawa ya antibiotics kwa muda mrefu bila ya kuambiwa na daktari kwani dawa hizi zikitumika kwa muda mrefu na bila ushauri wa daktari husabisha mabadiliko katika bacteria wa kwenye uke na kupeleka magonjwa na harufu mbaya


~Epuka Kujifanyia punyeto(kujisaga) Unajiharibu
Vaa nguo za ndani za cotton


~Epuka nguo za kubana sana mwili,Nguo ya ndani ianikwe nje sehemu ambayo itapigwa na jua


~Unapokua kwenye siku zako zingatia usafi na kubadilisha pedi,Epuka kutumia vyoo vya umma vya kukaa


~Jikinge na magonjwa ya zinaa na Kufanya Mapenzi Na wanaume Tofauti

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Pastor Tobi reacts to the accusation of...
UK-based Nigerian preacher, Pastor Tobi Adegboyega, has reacted to the...
Read more
Juve must play at their limits against...
LILLE, France, 🇫🇷 - Juventus manager Thiago Motta has stressed...
Read more
Tinubu’s wife refutes claims of intentions to...
First Lady Remi Tinubu has refuted claims that she is...
Read more
Real Warri Pikin reveals regret about opening...
CELEBRITIES Nigerian comedian Real Warri Pikin has disclosed how she...
Read more
Ufahamu Mkoa Wa Singida Nchini Tanzania
Mkoa wa Singida ulianzishwa rasmi Oktoba 15, 1963 ambapo kabla...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  IMF Advises Kenya to Strengthen Tax Capacity Amid Debt Woes and Public Unrest

Leave a Reply