0:00
HABARI KUU
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili na anatarajiwa kuitikia wito huo siku ya kesho Jumatatu, Aprili 22, 2024.
Japo haijaelezwa anachoitiwa lakini inaweza kuhusishwa na kile Mkuu huyo wa Mkoa alichokisema wakati miaka 40 ya Kumbukumbu ya Waziri Mkuu wa zamani Marehemu Edward Moringe Sokoine kuwa anawajua wale wanaotuma watu wamtukane mitandaoni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kwamba miongoni mwao ni Mawaziri.
Kiongozi huyo wa Mkoa wa Arusha aliahidi kutaja orodha ya watu hao Jumatatu iliyopita lakini mpaka leo hajafanya hivyo.
Related Posts 📫
❤
1. Remember that romance is not the husband's responsibility...
MICHEZO
Klabu ya Azam FC imetangaza kufikia makubaliano na Klabu...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
NYOTA WETU
Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamnu Muhimbili...
HABARI KUU
Mbunge wa Jimbo la Konde, Pemba, Mohamed Said...