0:00
HABARI KUU
MKUU wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amesema wananchi wote wanaotaka Muungano uvunjike wanatakiwa kuchapwa viboko ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Akizungumza wakati wa Mdahalo wa kuelekea kilele cha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, Moyo alisema kuwa kuna watu wanaotaka Muungano uvunjike kwa maslahi yao jambo ambalo halikubaliki katika jamiii ya watanzania.
Moyo amesema kuwa Muungano wa Tanzania ni nembo (Brand) kubwa duniani jambo ambalo hadi leo Tanzania ipo salama baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuungana na kuwafanya wananchi wote kuwa wamoja.
Related Posts 📫
Tulsa fired head coach Kevin Wilson on Sunday.
The Golden Hurricane...
MEXICO CITY, - Mexico City Grand Prix organisers are confident...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amejibu...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...