Pochettino akerwa na kichapo kutoka kwa Arsenal

0

0:00

MICHEZO

Baada ya kichapo cha mabao 5-0 walichokipokea Chelsea kutoka kwa Arsenal kimemuibua kocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino na kusema iwapo kikosi hicho kitaendelea kupokea kichapo basi hawastahili kucheza michuano mikubwa ya Ulaya (Klabu Bingwa & Europa Ligi).

ā€œKuabishwa? Hapana siwezi kulitumia hilo neno kwa wachezaji wetu, sitawalaumu wachezaji, hatuwezi kuwalaumu vijana waliokuja hapa kupambana na timu inayopigania kutwaa taji la Ligi Kuu.

ā€œIkiwa tunataka kuwa katika nafasi tofauti msimu ujao, tunatakiwa kufanya maamuzi ni vigumu kusema tutacheza michuano mikubwa ya Ulaya (UEFA, EUROPA) kwa sasa.

ā€œKama tukishinda Jumamosi dhidi ya Aston Villa ni sawa, tukipoteza tena kama leo (jana) hatustahili kwenda Ulaya.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  CHELSEA ARE CLOSING IN ON THE UKRAINIAN PRODIGY
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading