MAKALA
Kwa mujibu wa Jarida la Skytrax World Airport Awards limetoan orodha ya viwanja bora vya Ndege duninia huku namba moja ikishikiliwa na Uwanja wa Ndege wa Doha nchini Qatar nafasi ya pili ni Singapore Changi nchini Singapore nafasi ya tatu ni Seoul Incheon nchini Japan.
Jarida hilo halikuishia hapo ambapo limetoa orodha ya Viwanja 10 bora vya Ndege barani Afrika na katika viwanja hivyo 10 vitatu vya mwanzo yaani namba moja mpaka 3 ni Afrika Kusini.
Viwanja hivyo bora vya Ndege Afrika hivi hapa.
- Cape Town International Airport – Afrika Kusini
- King Shaka International Airport (Durban) Afrika Kusini
- O.R. Tambo International Airport (Johannesburg ) Afrika Kusini
- Casablanca Mohamed V International Airport -Morocco
- Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport – Mauritius
- Marrakesh Menara Airport – Morocco
- Bole Addis Ababa International Airport – Ethiopia
- Kigali International Airport – Rwanda
- Cairo International Airport – Misri
- Jomo Kenyatta International Airport – Kenya

Related Content
Related Content
Related News 
The Lord’s Chosen Charismatic Revival Ministries has responded to online...