Christina Shusho afunguka sababu ya kuiacha ndoa

0

0:00

NYOTA WETU

“Nimeolewa nikiwa na miaka 19 nilipomaliza kidato cha nne nilikuwa mrembo sana, msinione hivi ni vile nimechoka tu, nilikuwa nikipita hivi wanaume walikuwa macho yote kwangu. Uzuri wangu ulimpa hofu mama yangu alikuwa anawaza huyu mtoto na uzuri huu akikaa hapa si ataharibika!!”

“Basi akajitokeza mzee Shusho akasema nataka kuoa huyu binti, mama hakutaka maelezo akasema chukuaaa chukuaaa chukuaaa!!! asituharibikie hapa, kwahiyo niliolewa nikiwa na miaka 19 pekee nilikuwa mdogo na sikuelewa nini maana ya mapenzi wala sikujua maana ya upendo, naweza sema nililazimishwa kuolewa ili nisiharibike lakini ilikuwa si kwa matakwa yangu”-

Msanii wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Christina Shusho akizungumza Katika semina ya wanawake .

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Hong Myung-bo return as Korea head coach
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading