0:00
MICHEZO
Klabu ya Azam FC imetangaza kufikia makubaliano na Klabu ya Stade Malien ya Mali kumsajili kiungo wao mshambuliaji Franck Tiesse.
Nyota huyo raia wa Ivory Coast, amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili atakaoanza kuutumikia kuanzia msimu ujao 2024/25.
Tiesse anayesifika kwa uwezo wake mkubwa wa kushambulia kwa kasi na uwezo wa kutumia miguu yote miwili, akiwa Stade Malien aliisaidia klabu hiyo kufika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu.
Ongezeko la kiungo huyo ni anakuja kusaidiana na kiungo Mtanzania Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye msimu huu amefanya kazi kubwa katika eneo la kiungo cha ushambuliaji bila usaidizi.
Related Posts 📫
Chelsea's fixture list for the 2024/25 Premier League season has...
MICHEZO/BURUDANI
Mchekeshaji na Mwigizaji Legend wa Nollywood Nigeria John Okafor maarufu...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ambapo...
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye...
President Bola Tinubu has vowed that the terrorists behind the...