0:00
MICHEZO
Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya TZS milioni 1 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji Nickson Kibabage katika mchezo wa Yanga na Simba Aprili 20, 2024.
Adhabu hiyo imetolewa baada ya kikao kilichokaa cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Aprili 30, mwaka huu.
Related Posts 📫
Watu wanne wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika Ajali...
Davido has one more to his side. Senegalese-American singer, Akon...
Binti wa miaka 23, Lobi Daudi amekiri shtaka lake la...
The Colorado Avalanche claimed veteran goaltender Kaapo Kahkonen off waivers...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...