0:00
CELEBRITIES
“SIMPENDI SANA VUNJABEI”
–
Mfanyabiashara mahili Janifer Jovin “Niffer” ameweka wazi kuwa hapendi biashara yake kuhusishwa na Fred Vunjabei pia amesema hajawahi kuwa na ukaribu Wala mahusiano ya kimapenzi na Fred Vunjabei.
Katika mazungumzo Hayo Niffer aliongeza Kwa Kusema anamchukia Fred Vunjabei kutokana na tabia yake ya kupenda kujihusisha nyuma ya mafanikio ya mwanadada yoyote wa hapa mjini.
Ikumbukwe Kipindi Niffer anaanza biashara ya nguo ziliibuka habari kuwa Fred Vunjabei Ndio anahusika Kwa asilimia Kubwa Kwa mwanadada huyo.
Related Posts 📫
MICHEZO
Klabu za AC Milan na Juventus zinaangalia uwezekano wa...
Portland, Oregon, has become the latest city to benefit from...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
The 28-year-old has agreed a three-year contract with Blues after...