0:00
MICHEZO
Mshambuliaji Earling Halaand amepachika mabao manne kwenye ushindi wa 5-1 waliopata Manchester City dhidi ya Wolves kwenye muendelezo wa ligi kuu soka nchini England
Ushindi huo umewasogeza zaidi na ubingwa miamba hiyo wenye alama 82 baada ya michezo 35 wakiwa alama moja tu nyuma ya vinara Arsenal huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi
Endapo Manchester City itapata ushindi kwenye michezo yake yote mitatu iliyosalia kwenye EPL basi watatwaa tena uchampioni wa ligi hiyo pendwa
City amebakiza michezo ya ugenini dhidi ya Fulham na Tottenham na mwisho atamalizia nyumbani dhidi ya West Ham United, timu zote hizo zikitokea London
Related Posts 📫
CELEBRITIES
A Nigerian man, who happens to be the personal...
https://videopress.com/v/pErihNKH?resizeToParent=true&cover=true&preloadContent=metadata&useAverageColor=true
CELEBRITIES
The spokesperson of the police command, said that Adanma...
NYOTA WETU.
Luis Manuel Diaz, Baba mzazi wa Mshambuliaji wa...
DODOMA
WATUHUMIWA wa ukatili wa kijinsia dhidi ya msichana mkazi wa...