Mfahamu Didi-Stone mmoja wa watoto 7 wa Mwanamziki nguli Koffi Olomide
NYOTA WETU Didi-Stone Olomidé ambaye amepewa jina kutokana na mjomba wake, Didi na muigizaji kutoka Marekani Sharon Stone. “Nilipokuwa mwanafunzi, ndoto yangu ilikuwa kumpata mtoto mmoja tu: msichana. Na Didi…